You are viewing a single comment's thread from:
RE: Kambria-Accelerating AI and Robotics future.
Vipi buda, kuna vile msee hulipa SBD ama steem kwa ma bots then wanakupa hizo upvotes
Vipi buda, kuna vile msee hulipa SBD ama steem kwa ma bots then wanakupa hizo upvotes
coz kuzipata sio rahisi, nimekufollow, hebu nifollow pia, then nitakupa hizo links za bots to upvote
nishaku follow. alafu inamek economic sense kuwalipa basing on your returns sai?
Sio mbaya coz kama hii sahii nimelipa 0.7 SBD for hizo upvotes zote so post inakaa imeonekana sana alafu inaget points mob.
Asante kwa follow
Hii story mnachapaje kwa wall bana? si mchapie kwa fbb inbox ivi bana ama mkule mareject
Ndo maana tunabonga swa bro