You are viewing a single comment's thread from:RE: Kambria-Accelerating AI and Robotics future.View the full contextkipla (36)in #robotics • 6 years ago buda unapataje hizi upvotes zote
Vipi buda, kuna vile msee hulipa SBD ama steem kwa ma bots then wanakupa hizo upvotes
coz kuzipata sio rahisi, nimekufollow, hebu nifollow pia, then nitakupa hizo links za bots to upvote
nishaku follow. alafu inamek economic sense kuwalipa basing on your returns sai?
Sio mbaya coz kama hii sahii nimelipa 0.7 SBD for hizo upvotes zote so post inakaa imeonekana sana alafu inaget points mob.
Asante kwa follow
Hii story mnachapaje kwa wall bana? si mchapie kwa fbb inbox ivi bana ama mkule mareject
Ndo maana tunabonga swa bro
vote weight yao naona iko chini sana
yegon follow me na pia unigonge message apa ivi nikuchanue Facebook
fitifiti
nimeku follow na nishaku request fb pia
Weight iko chini juu ni ma bots, me hutumia tuu ndo post iwe rated juu kwa bounty
okay... acha nta research on it ndo nijue ka nitai tumia
ok sawa, unafanya bounties pia ? I can see you have specialized in Art. Really good stuff you are doing
yap.. i also do bounties .. lakini huku nili specialize na art solo ...niliona kila msee anafanya story na block chain. i am not sure ka nita pull it huku na art. which site do you use when it comes to bounties?
unajua site fiti naeza fanya majob nilipwe na ma coins? alafu nimeku request fb. add me
Aha, acha tubonge fb
fiti